Hao wafia Dini wanaoandama kuitetea HAMAS halafu Polisi wa Marekani wanawagusagusa tu,hebu Serikali ya Marekani waombe msaada kwa Tanzania kuzima hayo maandamano.
Vijana wa FFU wapewe hiyo...
Ukiangalia ishu ya malisa na boniface utagundua tatizo sio polis bali kuna kigogo mmoja anawashurutisha wafanye haya wanauofanya kuwalaumu polisi ni kuwaonea
Mzizi wa tatizo ni igp kuteuliwa na...
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu.
Sababu ni kwamba Simba hawampi thamani pia haoni mipango yoyote...
1. Alisema Abraham Lincoln:
2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP):
3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.