Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Poleni Kwa msiba huu wa Zuchi. Kamanda akiwa katika majukumu ya kazi kapata ajali, kafariki kaacha watoto wawili, vipi kuhusu mirathi na stahiki nyingine za marehemu? NB: Waajiri walazimishwe...
2 Reactions
6 Replies
155 Views
Wale wanaoamini kuwa hakuna DEMOKRASIA NDANI ya CCM wapewe maua Yao.Kwa kufuata itikadi ya ujamaa,maana yake NDANI ya CHAMA kuna unafiki mwingi na hakuna DEMOKRASIA!RAIS analazimisha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama . Christina...
8 Reactions
29 Replies
728 Views
Umuofia kwenu, kwa takribani miezi minne sasa nilishuhudia mbegu mpya kabisa ya panya nyumbani kwangu. Panya hao wana muonekano tofauti na hawa wetu na cha ajabu kabisa wanawawinda panya wale wa...
4 Reactions
23 Replies
160 Views
Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
2 Reactions
4 Replies
65 Views
Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini. Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki. Unfortunately maneno yamenza mara...
21 Reactions
109 Replies
3K Views
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
22 Reactions
180 Replies
8K Views
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo 1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Jenerali Ulimwengu amefanya tafakuri kuhusu nishati ya mafuta na gesi katika kufanikisha usafiri nchini. Kwa tathmini yake amebaini wamiliki wa vituo vya mafuta wapo mstari wa mbele kukwamisha...
4 Reactions
7 Replies
314 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,544
Posts
49,522,399
Members
667,165
Latest member
REBAMS
Back
Top Bottom