Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
18 Reactions
73 Replies
1K Views
Wakuu, Binafsi huwa na Bet sana na bahati nzuri nimemuotea muhindi kama Milioni 40 Na sasa nataka kubet kwenye kilimo Mwaka huu naingia shambani kweli kweli sio utani, naingia FRONT na sio simu...
53 Reactions
293 Replies
40K Views
kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
2 Reactions
14 Replies
94 Views
1. Sare za chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa - TALGWU 2. Sare za chama cha wafanyakazi wa Afya na Serikali - TUGHE
0 Reactions
2 Replies
82 Views
HISTORIA Mansa Musa, ambaye alikuwa mtawala maarufu wa Dola ya Mali kati ya karne ya 14 na ya 15, alikuwa mwenye utajiri mwingi sana na anajulikana kwa utajiri wake mkubwa wa dhahabu. Utajiri wake...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwamba wa siasa za kisasa, Freeman Mbowe, leo anaongoza Maandamano ya Amani ya kupinga ugumu wa maisha na sheria mbovu za uchaguzi Mjini Tanga Usiondoke JF...
6 Reactions
21 Replies
672 Views
Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka. Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji...
3 Reactions
94 Replies
890 Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
24 Reactions
172 Replies
6K Views
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa...
8 Reactions
27 Replies
432 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,512
Posts
49,521,622
Members
667,149
Latest member
Ellen Maguzu
Back
Top Bottom