Jana nilipita Bar Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Bar na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama...
Habari wakuu,
Niwatakie heri ya sikukuu za Muungano, Leo katika hutuba ya Rais nimeskia amepongeza kuona mwanamke akiwa katika kikundi cha Bendera. Ifahamike kikundi hiki hakijawahi kuwa na...
Wakuu naomba mwenye kujua bei za vile vyuma vinavyotumika kujengea dari.
Huwa zinatumika pamoja na gypsum.
Majina ya mafundi wanaziita angle au channel au trunk.
Naomba kujua duka na bei zake.
“Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu
Sasa nchi yetu...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Samahani nilikuwa naomba msaada wa Maoni kutoka kwenu Nina duka ila kuna biashara ya gas nilikuwa Nataka nianzishe sasa nilikuwa naomba kuuliza kuwa Kati ya gas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.