Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za...
1 Reactions
9 Replies
285 Views
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodoma na Lumumba kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka. Hiko hivi, watu wengi hawakuwa wakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
9 Reactions
45 Replies
1K Views
Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja...
3 Reactions
35 Replies
406 Views
Hello, wapenzi wangu kama mnavyojua nyuso zetu zinakumbana na changamoto nyingi,kma chunusi, makovu, weusi kwenye macho na mambo mengi kutokana na sababu mbalimbali kama hormones, jua, vyakula n.k...
8 Reactions
74 Replies
2K Views
Mwaka 2006 nlitembelea tabora kwa mara ya kwanza nikiwa nmepangiwa kituo changu cha kaz. Nlifikia lodge flan mitaa ya town kwa siku kama tano nlikuwa nalala pale. Nakumbuka ilikuwa ni majira ya...
52 Reactions
240 Replies
50K Views
Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo...
1 Reactions
11 Replies
253 Views
Kwa wasioijua Same Sekondari ni moja ya shule Kongwe za Serikali tanzania iliyoanzishwa mwaka 1952. Shule hiyo imekuwa inatoa kidato cha kwanza hadi cha sita (boys). Kulikuwa na jitihada kadhaa...
0 Reactions
2 Replies
5 Views
BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KASHFA MBALIMBALI ZA BALOZI MTEULE WA RWANDA NCHINI TANZANIA GENERALI PATRICK NYAMVUMBA. Ndugu Mheshimiwa...
59 Reactions
123 Replies
8K Views
Wakuu, hivi mmegundua kila unapofika mwaka wa Uchaguzi wowote uwe wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu, ndio muda ambao miradi mingi huwa inadorora! Barabara zinakuwa mbovu kupita maelezo, huduma...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni msimu wa mavuno ya mahindi sasa, Hapa ni wilaya ya Mbinga, mkoa wa Ruvuma , ... Bei ya mahindi ni 300tsh hadi 350 tshs kwa Kg Karibuni,NINAYO SITE, godown kubwa, na facilities zingine...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,231
Posts
49,512,521
Members
667,027
Latest member
Safisha99
Back
Top Bottom