Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea. Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mkoa wa...
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza. Kuna ngoma kali kuishinda hii? https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
2 Reactions
17 Replies
164 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
16 Reactions
198 Replies
2K Views
Poleni Kwa msiba huu wa Zuchi. Kamanda akiwa katika majukumu ya kazi kapata ajali, kafariki kaacha watoto wawili, vipi kuhusu mirathi na stahiki nyingine za marehemu? NB: Waajiri walazimishwe...
2 Reactions
8 Replies
237 Views
Nimepita stand ya Nanenane Dodoma leo, kuna kitu sijakielewa. 1. Ukiingia na gari, wanakulipisha ushuru wa kuingia na gari na wanakupa tiket. 2. Ukipaki gari, unapoingia kwa abiria unalipishwa...
3 Reactions
22 Replies
495 Views
Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
2 Reactions
7 Replies
82 Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
1 Reactions
34 Replies
395 Views
Kutoka Chadema Hq. Ameandika Tundu Lissu. Wajumbe wa Kamati Kuu salaam. Nimepokea barua hiyo kutoka viongozi wetu wa Njombe. Barua yenyewe inajieleza na mnaweza kuisoma na kuielewa wote. Pamoja...
0 Reactions
2 Replies
115 Views
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye...
30 Reactions
273 Replies
16K Views
Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara! Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo, Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee? Kila alipo mtu mweusi katika Dunia...
7 Reactions
38 Replies
459 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,547
Posts
49,522,455
Members
667,164
Latest member
REBAMS
Back
Top Bottom