Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti...
2 Reactions
25 Replies
203 Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
14 Reactions
222 Replies
3K Views
Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano...
7 Reactions
109 Replies
4K Views
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
7 Reactions
96 Replies
2K Views
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida. Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Credit by crown media #CrownSports ---- Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande...
0 Reactions
4 Replies
166 Views
...mboni ichafukapo jicho huwa mashakani... ...Ni mbali we uliko nasijui..UHALI GANI... ..nikumbuke kwa PM hata wa kucomment post hii wazima wana JF... Uhali Gani - YouTube
8 Reactions
198 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF. Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims. Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or...
0 Reactions
1 Replies
49 Views
Wakuu salaam! Kwa yeyote mwenye home theater mbovu, iliyoungu haiwaki, hauna kabisa mpango wakuilekebisha, hata Kama imeshatolewa circuit zake za ndani, yaani kifupi bovu bovu tu ninahitaji...
2 Reactions
18 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,315
Posts
49,515,331
Members
667,058
Latest member
latifeh6243
Back
Top Bottom