Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi. Mitungi jamani mitungi jamani...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
" Mods Mnakosea sana. Hamtendei watanzania haki. Tunaomba Msiuondoe Huu Uzi. Ni 100% True. Unless mna ukweli tofauti na huu. Kama ni jukwaa huru basi msiondoe huu ukweli" Dhana iliyozungumziwa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
148 Reactions
12K Replies
4M Views
Wewe kijana mwenzangu, achana na mawazo ya kupinga CCM, nafikiri ni hekima kupinga uovu, kuwakataa waovu, naamini upinzani wa namna hii utatoa matokeo makubwa ukiwa ndani ya CCM kuliko huko nje...
0 Reactions
2 Replies
17 Views
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti. Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
8 Reactions
37 Replies
220 Views
Eti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya? Tusemezane
2 Reactions
18 Replies
189 Views
Wewe ni tajiri au masikini? Tuwekee picha tuone maana mmezidi kujitapa nyie matajri.
3 Reactions
23 Replies
246 Views
Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa...
1 Reactions
36 Replies
539 Views
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida. Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
11 Reactions
66 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,325
Posts
49,515,701
Members
667,071
Latest member
shedlib
Back
Top Bottom