Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Siku hizi hakuna kupoteza muda unatongoza saa 12 jion saa 2 usiku unapiga au hutongozi kabisa unashika tu kiufupi wamekuwa Maharage ya mbeya..
8 Reactions
14 Replies
214 Views
Wajuvi nielewesheni.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko: 2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu? 3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu...
4 Reactions
16 Replies
315 Views
Kwanini baadhi ya watu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi yani unaweza kukutana na mtu ana vipaji vingi ukastaajabu na uwezo wake aliojaaliwa?
1 Reactions
9 Replies
168 Views
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki . Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu ...
3 Reactions
8 Replies
190 Views
Wakuu, nitajuaje kama simu ninayotaka kununua ni ya mkopo? Yaani hizi za hawa wanaouza kwa mkopo?
2 Reactions
10 Replies
125 Views
Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini? Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali...
3 Reactions
15 Replies
396 Views
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona. Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...
4 Reactions
70 Replies
1K Views
Natumai mu wazima, kuna kipindi niliuliza watu mkakejeli, wengine mkafika mbali mkasema mimi kilaza, haya bana namshtakia Mungu (hapo natamka kwa sauti ya roma mkatoliki "Nipeni maua yangu"). Ni...
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Wanapozaliwa Watoto mapacha mkubwa uitwa Kulwa na mdogo Uitwa Dotto, huyu dotto automatically uitwa Doi Hili Doi lilitokana na nini? Wajuvi mtujuze
1 Reactions
7 Replies
571 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,036
Posts
49,504,596
Members
666,928
Latest member
Maxnnko
Back
Top Bottom