Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha...
Jana usiku katika kusherehekea mambo ya muungano, ikabidi nitoke na bebi wangu tukaenda kiwanja kimoja; tukawa tunapiga maji yetu machungu kama kawaida yetu.
Kutokana na mazingira kuwa na 'vibe'...
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
Jf amani iwe nanyi.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s`
Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
Wiki ya Maandamano bado inaendelea , ambapo leo imefika Mkoani Mara .
Hapa Mkoani Mara anayeongoza Maandamano haya ni yule yule Mwamba Kabisa Freeman Mbowe
Usiondoke JF kwa vile inatarajiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Jana hapa nilileta andiko langu nikasema kuwa nimefanya uchunguzi wa kina sana tena sana wa kuchunguza watu hawa wawili kati ya yule komandoo aliyekuwa kiongozi wa kikosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.