Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Kwenye maisha usiwe serious sana ishi Kama mwijaku furahia maisha fanya vitu ambavyo vinaonekana vya ajabu mtu mzima kuvifanya mfano kubebana mgongoni,.
Kuwa serious kwenye ishu ya posho tu maana...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Nyumba lazima iwe ya moto yaani wakati wowote kinahappen mara wametokea wamama wa vikoba wamefuata rejesho kwa mkeo maana bidada kakopa halafu kauchuna hataki kupeleka rejesho imebidi wamama...
Jf amani iwe nanyi.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s`
Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.
Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.