Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yaani TANESCO KIBITI mnatia aibu sana. Kila siku umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja au mawili. Hii haijalishi ni usiku au mchana. Yaani ni mwendo wa washa zima. Mjitafakari sana. Na...
1 Reactions
10 Replies
163 Views
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Wakuu maisha ni kushare love. Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo. Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta...
17 Reactions
110 Replies
8K Views
Wakuu habarini za asubuhi. Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini. Mathalan una mchumba na umekwishamtolea...
0 Reactions
12 Replies
38 Views
Haya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo. Ngoja tuone .
3 Reactions
31 Replies
740 Views
Nimekaa nikifikiri Kwa muda sasa ni jinsi Gani mfanyabiashara mwenye mtaji wa 10 ml, alipaye Kodi ya pango ml 2, afanyaye biashara ya stationery, household goods, saluni nk nk awezaje kulipa Kodi...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
So when I grew up, especially in school life, I had zero confidence with women. Partly due to my moral upbringing (I guess) but also I lacked experience. We were mostly supposed to stay at home...
4 Reactions
36 Replies
370 Views
salamu wanandugu, Kama kichwa cha uzi . Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale...
0 Reactions
20 Replies
271 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Iringa ni mkoa ulioko katika sehemu ya kusini mwa Tanzania, na ni sehemu muhimu sana kijiolojia katika kuelewa muundo wa bara la Afrika. Kijiolojia, eneo hili limeathiriwa na michakato mingi ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,427
Posts
49,519,043
Members
667,103
Latest member
nicolaus9991
Back
Top Bottom