Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeamka serikali unataka...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari wadau, Leo nilienda na sendo huko katika kibarua changu sasa ghafla kujitazama nakuta kucha za vidole za miguu zimekuwa kubwa na chafu dah za MKONONai nazo ni kama zimefikia hatua ya...
2 Reactions
20 Replies
248 Views
Baada ya msiba mzito ulioikumba bendi ya FM academia baada ya kuondokewa na mpendwa wao marehemu Malou Stonch, mengi yameibuka. Akizungumza kwenye chombo kimoja cha habari, kiongozi wa kundi hilo...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
50 Reactions
493 Replies
23K Views
Kwanini Mtandao Umefanya Mabadiliko Ya Vifurushi KimyaKimya? Mfano Sms Kwa Mwezi Ilikuwa Tshs 1000 Kwa Sms 10000 Ila Sasa Sms 10000 Kwa Tshs 1500
1 Reactions
2 Replies
81 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
888 Replies
35K Views
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii. Kwa...
4 Reactions
10 Replies
786 Views
1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza. 2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya...
13 Reactions
69 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,047
Posts
49,505,408
Members
666,941
Latest member
Ayubu popati
Back
Top Bottom