Hizi ni facts sio chuki.....
Wakijiunga mlengo wa Shia, ili wawafurahishe Iran, Yemen, Lebanon watachukiwa au kuuawa na mlengo wa Sunnis wa Misri na Saudi Arabia.
Kinyue chake pia vivyo hivyo...
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki .
Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu ...
Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe.
Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani...
Marekani yasema kuwa imekubaliana na Ukraine kuondoka vifaru vyake vya Abram kwenye uwanja wa vita na Urusi huko Ukraine.
Uamuzi huo wa kuondoka vifaru hivyo vinavyodaiwa kuwa ni namba moja kwa...
Wagonjwa wapo hospitali, kwa huruma yake mungu atawaponya[emoji120].
Day one naingia shule A mwaka B mkoa X vijijini uko, kama kawaida kuku mgeni hakosi kamba mguuni maaana nilichelewa wiki tano...
Wadau poleni sana na mihangaiko ya j'mos.
Kuna hili la kuandika matusi na maneno ya kejeli kwenye vyoo vya kulipia, unakuta ukutani pale pameandikwa matusi makubwa na maneno ya kejeli, kiukweli...
Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa,
Wataalumu mnipe siri kuhusu...
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.