Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza
1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu.
2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu.
3) Tayari wa Israel...
Self esteem ni vile jinsi unavyojikubali kwa mtazamo wako, watu wengi hujikubali kwa maarifa waliyonayo, elimu, vipato, n.k.
Kwa wenzetu nchi zilizoendelea mtu anajikubali zaidi na kuona...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji kutoka pande zote za bara la Afrika (kaskazini, Mashariki, Magharibi, Kati, Kusini) kuingia katika ligi yetu hasa vilabu mbalimbali hapa nchini.
Hivi hawa wa...
1.unaweza kuikodisha anytime
2.una weza kuzalisha tofali mwenyewe weekend ukapiga kazi mwenyewe au assume kila usiku wewe ukawa ukazalisha tofali 200 hata kama ni kwa msaada wa kibarua means Kwa...
Kiongozi Mkuu wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe, katika maelezo yake amedai kwamba walifikia Makubaliano na Mbowe ili yeye achukue uenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe, Amezungumza mengi , lakini...
MFALME CONSTANTINE I WA ROMA
Huwezi kuutaja UKRISTO katika dola ya Roma bila kumtaja Mfalme Constantine I ukifanya hivyo huenda historia yako hiyo isikamilike
Kwa sababu hapo awali...
Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua...
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu.
Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.