Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Wadau hamjamboni nyote
Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu
Polisi wanaendesha...
Kutokana na mvua zinanyesha barabara ya kigoma-kibondo-busungu imemomonyoka na inekuwa usumbufu na hatarishi kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Mamlaka irekebishe barabara hii ili huduma iendelee...
Mwanzoni sikuwa naamini kuwa ushoga unashika kasi kubwa nchini Tanzania mpaka pale nilipoanza kufuatilia baadhi ya mabadiliko mitaanji na kwenye mitandao ya kijamii.
Kati ya mitandao ya kijamii...
Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza:
1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia?
2) Au ndani ya Jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.