Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
9 Reactions
45 Replies
810 Views
Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza...
1 Reactions
10 Replies
332 Views
Ujumbe wao huu hapa Pia soma!
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni sehem gani Tanzania naweza kupata mbegu nzuri ya mbuzi
0 Reactions
5 Replies
22 Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
28 Reactions
318 Replies
25K Views
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
9 Reactions
62 Replies
4K Views
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
5 Reactions
57 Replies
1K Views
Anasema Mjumbe wa zamani wa Baraza la Mawaziri Dr Kigwangala " Ila kama Soja ndiye muuza Madafu binafsi nimependa sana umakini wa Vyombo" Kigwangala ameongea ukurasani X Sabato Njema 😂😂😂
2 Reactions
11 Replies
270 Views
Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu...
0 Reactions
2 Replies
33 Views
Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May. Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
10 Reactions
44 Replies
502 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,002
Posts
49,503,627
Members
666,913
Latest member
pali akili
Back
Top Bottom