Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
38 Reactions
379 Replies
16K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
81 Reactions
567 Replies
13K Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
1 Reactions
12 Replies
231 Views
Wadau hamjamboni nyote Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu Polisi wanaendesha...
1 Reactions
22 Replies
656 Views
Kutokana na mvua zinanyesha barabara ya kigoma-kibondo-busungu imemomonyoka na inekuwa usumbufu na hatarishi kwa watumiaji wa barabara hiyo. Mamlaka irekebishe barabara hii ili huduma iendelee...
0 Reactions
11 Replies
125 Views
Mwanzoni sikuwa naamini kuwa ushoga unashika kasi kubwa nchini Tanzania mpaka pale nilipoanza kufuatilia baadhi ya mabadiliko mitaanji na kwenye mitandao ya kijamii. Kati ya mitandao ya kijamii...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
0 Reactions
2 Replies
135 Views
Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza: 1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia? 2) Au ndani ya Jeshi la...
10 Reactions
55 Replies
1K Views
  • Article
Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho...
5 Reactions
66 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,957
Posts
49,501,836
Members
666,900
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom