Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May.
Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi
Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,
Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua...
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa
Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Ulisainiwa Tarehe 22. Aprili. 1964 Na Waasisi, Mwl. Julius K. Nyerere Na Sheikh. Abeid Amani Karume, Na Kupitishwa Na Bunge Tarehe 26. Aprili. 1964. Mnamo Tarehe...
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
======
Wazee waeleza sababu zinazosababisha kuuwawa
WAZEE wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameeleza sababu inayosababisha wazee mengi kupoteza maisha kabla ya muda wao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.