Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Baada ya msiba mzito ulioikumba bendi ya FM academia baada ya kuondokewa na mpendwa wao marehemu Malou Stonch, mengi yameibuka.
Akizungumza kwenye chombo kimoja cha habari, kiongozi wa kundi hilo...
Tuendelee kufundishana.
Wakati mwingine ninaumia ninapoona watu wanaomba na hawapokei kama wanavyotakiwa kupokea, si kwamba Mungu hajakusikia, amekusikia, na atakujibu, ila kuna vitu ambavyo nawe...
Naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Mh Doto Biteko amesema wakati anaingia kwenye wizara hiyo alikuta kila mara mafuta kuadimika na kusababisha usumbufu na foleni kubwa kwenye vituo...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa
Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.