Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe.
Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani...
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...
Kampuni ya ByteDance ambayo ni Kampuni mama ya Mtandao wa Kijamii wa TikTok, imeshikilia msimamo wake kuwa haitauza mtandao huo licha ya tishio la kufungiwa nchini Marekani.
Bunge la Marekani...
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada.
Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu...
Wakuu mko poa lakini,
Turuke moja kwa moja kwenye mada
Ebanaee huyu manzi wa kuitwa Angel nimefahamiana nae miezi 5 kabla, kama zari tulianza kuwa kama marafiki tu wa kawaida.
Taratibu tukaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.