Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu...
14 Reactions
152 Replies
4K Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
27 Reactions
220 Replies
8K Views
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja...
8 Reactions
18 Replies
229 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
39 Reactions
384 Replies
16K Views
Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
0 Reactions
10 Replies
138 Views
A
Mwanzoni Miaka ya 2000 kila mvua iliponyesha wakati wa kuvuka Barabara tulikuwa tunalazimika kuvua viatu na kukunja nguo kisha tunavuka. Miaka zaidi ya 20 baadaye hali tuliyoizoea kuvuka kwenye...
1 Reactions
5 Replies
313 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
874 Replies
34K Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche Ukweli lazima uwekwe wazi
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Guys ninaomba ushauri, Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi. Wakati huo yeye alikuwa na kazi...
6 Reactions
54 Replies
886 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,962
Posts
49,501,985
Members
666,900
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom