Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Ulisainiwa Tarehe 22. Aprili. 1964 Na Waasisi, Mwl. Julius K. Nyerere Na Sheikh. Abeid Amani Karume, Na Kupitishwa Na Bunge Tarehe 26. Aprili. 1964. Mnamo Tarehe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
8 Reactions
43 Replies
810 Views
====== Wazee waeleza sababu zinazosababisha kuuwawa WAZEE wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameeleza sababu inayosababisha wazee mengi kupoteza maisha kabla ya muda wao ni...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
11 Reactions
174 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
12 Reactions
86 Replies
2K Views
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
8 Reactions
166 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa age : 23 gender: Male nahitaji kazi yeyote ya night shift kwani mambo yamekuwa magumu sana. ni mwanachuo mwaka wa tatu. na course nnayo soma ni miaka mi 4 na financially...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua...
5 Reactions
20 Replies
450 Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
28 Reactions
315 Replies
25K Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche Ukweli lazima uwekwe wazi
9 Reactions
65 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,002
Posts
49,503,627
Members
666,913
Latest member
pali akili
Back
Top Bottom