Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Sijui kama wanasaikolojia wana neno la kitaalamu kwa hii hali, ila katika uzoefu wangu wa mahusiano mwanamke ukimpa sana attention atakusumbua na kama hamjaanza mahusiano basi hata tunda hupati...
Nilibaki nimebung'aa jana baada ya umeme kurejea mida ya usiku.
Nilitegemea itakuwa one test au on or off ila cha ajabu usiku manane bado ilikuwa ni off on mara uwashwe mara uzime.
Nikajiuliza...
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo.
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
Swali #1.
Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?
Swali #2.
Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?
Nimeambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.