Kuna mambo hapa tanzania hususani hii biashara ya Forex imekuwa na majigambo mengi yani mtu ana kuonesha kapiga usd 5000 kwenye news kama CPI,NFP na n.k bado hapo hapo anaweka group au darasa la...
Amani ya Mungu iwe juu yenu
Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting.
Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni...
Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k.
Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia...
Katika Ulimwengu wa roho mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe na mwenyekiti wa CCM Rais Dr Samia wameongea kitu kinachofanana
Mkuu wa Upinzani nchini anasema Wanaume wengi ni wa hovyo na wapambe...
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo.
Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.