Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu embu tujuzane matairi yaliyotumika hawa wanaonunua wanaenda kufanyia nini? Maana hapa nimepewa ofa nisijeachia mali kwa bei rahisi.
0 Reactions
8 Replies
142 Views
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
9 Reactions
51 Replies
884 Views
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
3 Reactions
10 Replies
287 Views
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona. Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...
3 Reactions
64 Replies
965 Views
Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake. Tusiwe na...
8 Reactions
18 Replies
211 Views
Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa? Nimemaliza.
5 Reactions
50 Replies
1K Views
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote, Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
3 Reactions
21 Replies
204 Views
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma...
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Elimu ya chuo kikuu ni elimu Mhimu hasa huhitaji material mbalimbali za kujifunzia hasa Slides lakini pia articles. Je u awezaje Kupata Learning Slides for University Learning Visit Dyampaye For...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,013
Posts
49,503,939
Members
666,926
Latest member
Maxnnko
Back
Top Bottom