Habarini za leo, poleni na majukumu.
Kuna post nilishaweka hapa inasema "mpenzi wangu hataki nimfuatilie mambo yake", juzi kanitamkia wazi wazi kua hanitaki tena. Kinachoniuma ni kwamba, pesa...
Habari Wakuu,
Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo kupelekea uzalishaji kupungua.
Na pia kwa...
Wana jukwaa wa MMU habarini?
Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwenzatu mwanadada yamemkutaaa. Mama wa watoto 2 wa utotoni, 27 years 2 kids. Mumewe...
Mapambano ya kudai haki bado yanaendelea , Ambapo leo Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria Mbovu za Uchaguzi , Yamefika Mkoani Singida , Yakianzia Singida...
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana.
Twende kwenye mada.
Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.