Waaukumbi.
American colleges and universities involved in the Palestinian protests:
- Yale University
University of Texas
Columbia University
Massachusetts Institute of Technology
University...
Mfumo wa vyama vingi umeongeza Demokrasia na kupunguza Uzalendo
Kwa mfano Leo Chadema badala ya kusherehekea Miaka 60 ya Muungano wao Wanaandamana mikoani kupinga Kikokotoo
Uzalendo unatoweka...
Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza:
1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia?
2) Au ndani ya Jeshi la...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
wakuu wasaalamu.
Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine...
Habari wadau!
Ukitaka kujua tabia ngumu za baadhi ya wazazi subiri atakapokufa mmoja!
Jambo kama hili huwa linatatulikaje?
Baada ya kifo cha baba wa familia yenye watoto wakubwa na wadogo...
Nimemsikia Waziri wa Nishati Bw. Biteko akisema Serikali imelazimika kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwl Nyerere kwa kuwa matumizi ya umeme nchini ni madogo kuliko uzalishaji...
Imagine, zilungana Zanzibar na Tanganyika kuunda seeikali ya Muungano, lakini zanzibari ime retain taifa lake wakiwa na katiba, raisi, wimbo wa taifa, bunge, Baraza la mawaziri, wimbo wa taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.