Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo, Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
15 Reactions
55 Replies
1K Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
32 Reactions
331 Replies
14K Views
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
5 Reactions
35 Replies
828 Views
Tumeona video waziri wa Ulinzi wa Isreal akipata jali ndogo anahema anatetemeka wote huku akionekana kama amezimia kwa mshtuko. inaonekana kachanganyikiwa baada kigari kidogo kugeuza njia na klala...
0 Reactions
1 Replies
6 Views
Mimi ni mama wa watoto 3 na nimeolewa; ndoa yangu ina miaka 7 sasa. Mimi na mume wangu tulikuwa vizuri, lakini mwaka jana, kuna rafiki yangu mmoja alifiwa mume wake nilimsaidia kwa kumchukua...
7 Reactions
66 Replies
1K Views
Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii? Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
3 Reactions
86 Replies
1K Views
LIPA KWA M-PESA Ni laini ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya wafanyabiashara wooote iwe online business, Sheri, Hotel,Guest House, makampuni mbali mbali n.k. Hiyo yote ni kwa ajili ya kuuzia bidhaa...
1 Reactions
18 Replies
250 Views
kuna hii fursa imejitomeza huko TAESA, nimeona nisiwe mchoyo ni waletee humu ili MADEREVA wenye vigezo mkajaribu bahati yenu hii fursa bwana ni mkataba wa mwaka mmoja. kama upo Dar es salaam...
1 Reactions
7 Replies
212 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,941
Posts
49,501,110
Members
666,888
Latest member
abdallah kheri
Back
Top Bottom