Naomba Jamii Forums msaidie kupaza sauti ya huyu mzee apate msaada, tumemkuta anaishi chini ya hili jiwe, anadai yupo hapo tangu Mwaka 2011 baada ya CDA Dodoma kuvunja nyumba yake aliyojengewa kwa...
Nilijaribu kupitia Mitandaoni kuangalia kinachoendelea nakugundua Lissu ana Ubongo wa kipekee sana. Anaijua hii Nchi na watu wake tofauti na tunavyodhani, ndio maana kauli zake hutafsriwa negative...
Kwanza Kabisa Pascal Mayalla amekiri kwamba yeye ni Mkatoliki aliyetukuka
Pili Father Kitima amekiri kufuatilia JF kila siku akipendelea zaidi Jukwaa la Siasa na lile la Elimu
Father Kitima...
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
Wenzetu wana tamaduni zao za kuwaheshimu wanyama haijalishi ni mnyama wa aina gani japo kuwa nchi ya kiislamu ila inawapenda wanyama kama mbwa na wanazingatiwa kabisa.
Suala la paka na njiwa kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.