Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu. Eg. KQ (Dar-CPT-Dar)...
3 Reactions
46 Replies
1K Views
Zamani ilikua wanaume ndo tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikua wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati...
7 Reactions
73 Replies
2K Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
12 Reactions
151 Replies
4K Views
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ukurasa wake wa Whatsapp ameandika haya, 👇👇 ==== " Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la...
16 Reactions
48 Replies
3K Views
Wana JF, walaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
8 Reactions
40 Replies
965 Views
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
4 Reactions
36 Replies
238 Views
Watanzania mjue jambo moja tu. Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo. Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo. Raisi Samia angalia hili
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda). Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and...
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Walimu ndio wanaojazana kwenye sherehe za mei mosi na fulana zao za CWT,sijuagi wanafuataga nini maana hakuna la maana wanalopambaniaga kwa masilahi yao,haya mwakani mvae tena fulana zenu mkapigwe...
0 Reactions
1 Replies
16 Views
Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Tundu Lissu Iringa
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,491
Posts
49,548,032
Members
667,506
Latest member
tonnie de viola
Back
Top Bottom