Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana jf Niende kwenye point nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo... sio kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya...
2 Reactions
28 Replies
184 Views
Baada ya maswali kuwa mengi juu ya msemo wake maarufu “ukija bila gadi nagawa kwa idadi ya wastani” , kijana muuza madafu ameweka wazi kuwa ule ni msemo tu na haina maana kuwa yeye ni mtu wa ndani
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari za wakati huu Kwa mujibu wa mwenendo wa maisha ya leo, ambapo athari nyingi hasa za kimfumo wa uzazi zinamwangukia mwanamke, ni vyema kuona anapata watoto mapema. Ni nadra kwa mwanamke wa...
2 Reactions
3 Replies
59 Views
Mtangazaji Nguli, Mwanahabari na Mwandishi wa habari mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Salim Kikeke amejiunga na Redio/TV ya Crown FM/TV inayomilikiwa na Alikiba. Hii ni baada ya Alikiba...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimeingia Bariadi kuelekea kwenye utalii wa ndani Gambush. Katika pita pita nimekaa kijiwenii najadiliana na wazee kuhusu mkoa huu pendwa. Kwanza niwakumbushe kwamba huku ndipo wanapotoka akina...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Viwango vya uzazi nchini humo (ambavyo tayari ni vya chini kabisa duniani) vimepungua tena, huku kukiwa na hofu ya "kutoweka kwa taifa", wakati ambao Serikali imekuwa ikitumia Mabilioni ya Dola...
4 Reactions
25 Replies
450 Views
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
27 Reactions
272 Replies
6K Views
Wachina, wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo. Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania . Lakini...
0 Reactions
6 Replies
8 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
13 Reactions
134 Replies
863 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,491
Posts
49,520,966
Members
667,131
Latest member
niite_carlos
Back
Top Bottom