Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona. Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...
2 Reactions
49 Replies
526 Views
Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua...
2 Reactions
7 Replies
19 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja .
5 Reactions
34 Replies
734 Views
Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k. Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia...
1 Reactions
20 Replies
222 Views
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu...
14 Reactions
155 Replies
4K Views
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote, Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
2 Reactions
1 Replies
2 Views
Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini. Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi...
3 Reactions
16 Replies
49 Views
kama kweli tumedhamiria kusimamia maadili ya kizazi chetu basi mamlaka husika zinao wajibu wa kutupia macho matamasha ya taarabu ambayo kwa kiasi kikubw mashoga hujiingiza na kujiuza/. jana trh...
1 Reactions
4 Replies
50 Views
Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe. Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani...
2 Reactions
26 Replies
214 Views
Natoa ofa ya wikiendi, hii ramani ya vyumba vitatu kwa 20k. Karibuni
1 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,987
Posts
49,503,228
Members
666,913
Latest member
pali akili
Back
Top Bottom