Mzuka wanajamvi!
Haiwezekani mzee profesa na aliyehodhi mamlaka na madaraka za juu nchini na kulitumikia taifa letu kwa weledi adhalilishwe na kijana mbele ya camera na kusukumwasukumwa.
Natoa...
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi
Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,
Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe.
Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani...
MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu.
mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu.
ila kwa wengine ijalishi ni...
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
1. JERICHO -PALESTINE
Baadhi ya wataalamu hudai kuwa huu ndio mji mkongwe zaid duniani...mji huu ulikuwepo zaidi ya miaka 6800 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Wataalamu wanasema kuwa hapo awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.