Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni siku nyingine tena, nawasalimu Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini? Wanawake...
4 Reactions
27 Replies
474 Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
16 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
7 Reactions
147 Replies
10K Views
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu, baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni...
5 Reactions
8 Replies
61 Views
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
5 Reactions
52 Replies
757 Views
Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
17 Reactions
39 Replies
636 Views
Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
2 Reactions
47 Replies
280 Views
Mkurugenzi wa Chadema mh Jon Mrema amesema kitendo Cha Wanachama.wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X mh Mrema amesema Sheria...
0 Reactions
5 Replies
77 Views
Naziona vitu vipya kabsaa mtaani na mm Nina shida Kweli ya usafiri ningepata hyo pikipiki hakika itanisadiaa kwenye mambo yangu mengi snaa. Ama hakika mam anafanya Kaz kubwa sna kuliongoza taifa...
1 Reactions
0 Replies
7 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,851
Posts
49,843,535
Back
Top Bottom