Sasa unajiuliza kama hapo tu nje ya ofisi za Dc kijana
Mkurugenzi Binti mdogo kabisa ni Mazalia makuu ya Mbu kwingine kukoje?
Na ukifatilia Mkuu wa Wilaya ni kijana mbichi kabisa,Mkururgenzi ndo...
Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea?
Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
Umri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu.
Baada ya...
ALINIDANGANYA NI MWANAJESHI
Mama Jennifer shikamoo. Mimi naitwa Lila (sio jina halisi) na kabla ya kuja Dar nilikuwa naishi kijijini kwetu mkoani Singida.
Mwaka jana nilibahatika kuchumbiwa na...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Taarifa za hivi punde:
Vikosi vya uokoaji vimefika eneo ilipotokea ajali na kukuta hakuna aliyepona katika ajali hiyo ya helikopta ambayo ilimbeba raisi wa Irani na waziri wake wa mambo ya nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.