Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
3 Reactions
34 Replies
127 Views
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa. Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA. Hongereni Sana Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
15 Reactions
169 Replies
2K Views
Wanajamvi amani iwe nanyi,,,,,naomba kuifahamu miradi ya maendeleo iliyoasisiwa na uongozi wa awamu ya sita.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Habarini, Nimefikiria kuwa unique kidogo na kufungua duka litakalo deal na vitasa vya mlango aina zote. Je niko sahihi kwenda na kufanya hii idea kupelekea kunitoa au nimespecialize sana...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi. Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu...
10 Reactions
38 Replies
845 Views
Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah...
5 Reactions
14 Replies
407 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
14 Reactions
80 Replies
871 Views
Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa...
1 Reactions
17 Replies
284 Views
Salaam wandugu, Mheshimiwa ameongea kwa uchungu kwamba akipata nafasi ya kufanya maamuzi wanafunzi hawatapata boom kwani wanalitumia vibaya na hawasomi. Anasema ikibidi sana watoto hawa wa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
kumbe ndo maana tunashambuliwa kila mahali na kila kona, nimecheki Uingereza former english empire only 38% ya railway network yake ndio kuna treni ya umeme au electrified na iliyobakia ni diesel...
0 Reactions
15 Replies
261 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,264
Posts
49,598,452
Back
Top Bottom