Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa...
Ni kuwapa tu taarifa kwamba Rais Samia alihudhuria kikao muhimu Cha IDA taasisi ya World Bank nchini Kenya
Kikao hicho muhimu kilihudhuriwa na Wakuu wa Nchi 17 za barani Africa
Credit: Mkuu...
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha mafia kwa shuguli za serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa mafia mbona kama ni kimya...
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina
Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.