Habari wanaJF,
Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya...
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje?
Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi...
Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu.
KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.