Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith. Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
48 Reactions
102 Replies
2K Views
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
3 Reactions
42 Replies
540 Views
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki . Ni sawa .. Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
15 Reactions
117 Replies
2K Views
Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu. Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba...
6 Reactions
68 Replies
3K Views
Niliandika hapa hapa JamiiFoums na tena mwaka huu huu kuwa ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atakataa kuwa Yanga SC inaenda tena kuwa Bingwa wa NBC Premier League kwa mwaka wa Tatu mfululizo na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Waaukumbi. American colleges and universities involved in the Palestinian protests: - Yale University University of Texas Columbia University Massachusetts Institute of Technology University...
1 Reactions
82 Replies
940 Views
kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii? ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
1 Reactions
17 Replies
157 Views
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
3 Reactions
113 Replies
6K Views
Salaam Wanajukwaa Kama ilivyo desturi yetu Wanajf kujuzana, kuelimishana nk.. Leo ningeomba kufahamishwa kwa wenye uzoefu je kwa mtaji wa Milioni 2 naweza fungua biashara hizi mbili 1.Saloon ya...
7 Reactions
46 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,641
Posts
49,490,693
Members
666,783
Latest member
Borauzimaa
Back
Top Bottom