wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto... Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake... Tusiwe na...
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu.
Sababu ni kwamba Kolozidad hawampi thamani pia haoni mipango...
Japani ni nchi ambayo iko kwenye eneo lenye shughuli nyingi za kijiolojia. Kijiolojia, Japani iko katika eneo linaloitwa "Pasifiki ya Moto" au "Mzunguko wa Moto wa Pasifiki". Hii ni mstari wa...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza
1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu.
2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu.
3) Tayari wa Israel...
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.