Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazo lewesha haraka kama sungura,master, jogoo nk ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi...
3 Reactions
11 Replies
213 Views
Habari, Africa tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa, wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu, mara mizimu inaleta nuksi, mara watu wamefungwa na...
10 Reactions
57 Replies
712 Views
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo, Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
13 Reactions
42 Replies
808 Views
Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila...
5 Reactions
29 Replies
240 Views
Ujumbe wao huu hapa Pia soma!
5 Reactions
31 Replies
1K Views
  • Article
Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana. Twende kwenye mada. Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi...
0 Reactions
7 Replies
187 Views
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
40 Reactions
198 Replies
5K Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
866 Replies
34K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,938
Posts
49,501,020
Members
666,887
Latest member
abdallah kheri
Back
Top Bottom