Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
1 Reactions
17 Replies
244 Views
Muuza madafu katika Moja na mbili😊
21 Reactions
85 Replies
1K Views
Arusha,Zanzibar,Kilimanjaro,Mara na Mbeya ni moja kati ya sehemu ambazo zimekuwa ukipata sifa lukuki juu ya uzuri wa maeneo ndani ya mikoa hiyo. Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuonesha uzuri wa...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna...
61 Reactions
240 Replies
12K Views
Wanaukumbi. BREAKING: 🇮🇱Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir alijeruhiwa wakati gari lake la serikali lilipopata ajali na kupinduka. Alipelekwa hospitali Mungu kamuonyesha kidogo...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
4 Reactions
14 Replies
71 Views
Ewe kijana kama upo tu nyumbani huna ramani unashinda umelala siku nzima unaona kazi siku hizi hamna, basi haraka sana tafuta mwanamke uoe. Nakuhakikishia utapata kazi haraka sana na utaacha...
5 Reactions
39 Replies
422 Views
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu. Sababu ni kwamba Simba hawampi thamani pia haoni mipango yoyote...
7 Reactions
51 Replies
1K Views
Habari, Africa tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa, wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu, mara mizimu inaleta nuksi, mara watu wamefungwa na...
9 Reactions
46 Replies
415 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,873
Posts
49,498,148
Members
666,860
Latest member
Mr Ntinginya
Back
Top Bottom