Habari wa JF,
Katika pita pita zangu mitandaoni hasa JF na instagram nimeona kuna kampuni/watu wanaofanya huduma za kuagiza magari nje kwa masharti ya kulipia nusu na kumalizia kiasi kilichobaki...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo,
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila...
1. Alisema Abraham Lincoln:
2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP):
3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.