Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
INTRODUCTION:- Ni mimi Mr. Liverpool again A.K.A Yanga Bigwa BODY:- Jana nikiwa ofisi kuna muda nikaona nishike simu ili nijibu SMS mbali mbali. Sasa bana ile naingia Instagram kwenye searching...
0 Reactions
4 Replies
26 Views
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
9 Reactions
142 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi! Haiwezekani mzee profesa na aliyehodhi mamlaka na madaraka za juu nchini na kulitumikia taifa letu kwa weledi adhalilishwe na kijana mbele ya camera na kusukumwasukumwa. Natoa...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
79 Reactions
537 Replies
12K Views
Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
1 Reactions
1 Replies
20 Views
Salaam, Shalom. Samahani Kwa waliozaliwa 2000+, Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri...
8 Reactions
35 Replies
396 Views
Huyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
2 Reactions
16 Replies
144 Views
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani...
2 Reactions
61 Replies
511 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,857
Posts
49,497,400
Members
666,860
Latest member
Mr Ntinginya
Back
Top Bottom