Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru...
Sifa kubwa ya mwanasiasa ni kuwa na uwezo wa kutunga na kubuni sera nzuri bila kusahau kuwa na ushawishi au umaarufu kwa watu, sera nzuri peke yake haitoshi.
Si mtazami makonda kama mwanasiasa...
Salaam, Shalom.
Samahani Kwa waliozaliwa 2000+, Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri...
Hiyo sehemu inaonekana ilikua imejengwa sana na imepigwa haswa hadi Umoja wa Mataifa wanasema itachukua miaka 14 kuondoa vifusi...
UN official says it could take 14 years to clear debris in Gaza...
INTRODUCTION:-
Ni mimi Mr. Liverpool again A.K.A Yanga Bigwa
BODY:-
Jana nikiwa ofisi kuna muda nikaona nishike simu ili nijibu SMS mbali mbali.
Sasa bana ile naingia Instagram kwenye searching...
Kwanza nachukua nafasi hii kuwapongeza wote mliosherehekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ( Mimi sikusherehekea )
Bali Swali langu ni hili , hivi Sherehe za Muungano zina...
Habari,
Africa tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa, wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu, mara mizimu inaleta nuksi, mara watu wamefungwa na...
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.