Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT wazalendo mh Abdul Nondo amesema Chama chake kimesikitishwa na kitendo cha Polisi kuwakamata Godlisten Malisa na Boniface Jacob kwa kupaza Sauti dhidi ya...
Majuzi kati kada mtiifu sana wa ccm na chawa mkubwa wa bashite, mara baada ya bashite kuhojiwa na kamati ya maadili ya chama chetu alileta bandiko huku akisema.
Mwamba Bashite ataongea na...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
Habari wana Jf tupeane pole juu ya Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchini.
Juzi kati nilipata msala mdogo amabao ulinipelekea kuwekwa Selo pale kituo cha polisi msimbazi.
Baada ya kusolve na...
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.