Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii? ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
1 Reactions
18 Replies
225 Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
150 Replies
7K Views
Msikilize hapa Makonda Mkuu wa Mkoa wa arusha alipokuwa akiwaasa watendaji katika mkoa wake. hakika nakubaliana naye kwa 100% kuwa vikundi vya watu wanafiki, wambeya, wafitini na wabadhirifu...
3 Reactions
12 Replies
284 Views
Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale...
2 Reactions
22 Replies
396 Views
Nafasi ya Polisi katika nchi, tofauti na wengi wanavyoamini, ni muhimu sana kwa ustawi wa nchi. Kwa hapa kwetu nchini, kwa muda mrefu, imejengeka imani kuwa watu wenye uwezo mdogo wa kimasomo...
6 Reactions
15 Replies
291 Views
Kama sio wewe basi utakuwa umewahi kutana na mtu akilalamika dhidi ya watu ambao wana tabia zisizo rafiki na pengine mpaka mtu huyo anatamani kuachana na kazi hiyo ili aepuke kukutana na watu hao...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Moja kwa moja. Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani? Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa...
8 Reactions
34 Replies
682 Views
Mfumo wa vyama vingi umeongeza Demokrasia na kupunguza Uzalendo Kwa mfano Leo Chadema badala ya kusherehekea Miaka 60 ya Muungano wao Wanaandamana mikoani kupinga Kikokotoo Uzalendo unatoweka...
1 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,643
Posts
49,490,745
Members
666,782
Latest member
Borauzimaa
Back
Top Bottom