Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
17 Reactions
175 Replies
1K Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
10 Reactions
46 Replies
802 Views
Mara kadhaa Chadema wamekuwa wanawadanganya watu wasioelewa kwamba eti Katiba Mpya ndio muarobaini wa Rushwa na Ufisadi licha ya kina Bob Wine kuwapa somo kwamba jambo Hilo linategemea uadilifu wa...
1 Reactions
68 Replies
451 Views
Saikolojia ya mapenzi kwa dakika chache bila kukuboa. Binadamu tunaishi kujifunza na kutumikia matamanio ya miili yetu hasa starehe ya mapenzi. umaarufu and power ni nyongeza hisio ya msingi sana...
1 Reactions
22 Replies
172 Views
ndugu yenu naangamia kwa kukosa kazi ya kujishuhulisha kabisa
2 Reactions
10 Replies
131 Views
Huyu pia ni miongoni mwa watu wenye bahati za juu duniani Frane Selak alizaliwa tar 14/6/1929 nchini Croatia kitaaluma ni mwalimu wa mziki .....kwanini ameingia kwenye orodha ya kuwa ni miongoni...
1 Reactions
9 Replies
154 Views
Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa...
7 Reactions
52 Replies
536 Views
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya. Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii...
48 Reactions
104 Replies
5K Views
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana Nawatakia Dominica Njema 😄
5 Reactions
51 Replies
303 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,303
Posts
49,569,722
Members
667,868
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom