Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimemsikia Waziri wa Nishati Bw. Biteko akisema Serikali imelazimika kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwl Nyerere kwa kuwa matumizi ya umeme nchini ni madogo kuliko uzalishaji...
10 Reactions
24 Replies
507 Views
wakuu wasaalamu. Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine...
7 Reactions
107 Replies
1K Views
Zanzibar imejaa fursa lukuki 1. UTALII 2. GESI 3. MAFUTA 4. KARAFUU 5. MWANI Ila ndio koti la Muungano linatubana. i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika, ii. Pesa inaliwa...
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa...
2 Reactions
24 Replies
312 Views
Mada yangu iko wazi wazi. Naomba wajuvi wa mambo ya haki na umiliki, bila mahaba ya kisiasa waniweke sawa. Hivi mali zilizopatikana kwakuwakata tozo na kodi na ushuru, raia wote wakat wa chama...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche Ukweli lazima uwekwe wazi
0 Reactions
24 Replies
211 Views
Andikeni maandiko yote lakn huyu striker anayefanana na striker wa zamani wa Tottenham Freddy Kanoute hana uwezo wa kuchezea Simba. Freddy hamfikii hata robo yule striker mkenya wa Ihefu aitwae...
7 Reactions
22 Replies
733 Views
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha...
0 Reactions
23 Replies
200 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Picha chini Ni mwonekano baada na kabla ya kufanyiwa oparesheni hiyo ya mdomo. Nini maoni yako, Kapendeza au hajapendeza?
2 Reactions
23 Replies
328 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,743
Posts
49,493,516
Members
666,811
Latest member
britanny
Back
Top Bottom